Beki wa kushoto wa Al Hilal ya Sudan, Khadim Diaw. KLABU ya Simba kwa sasa inapigana kupata saini ya beki wa kushoto wa Al Hilal ya Sudan, Khadim Diaw, raia wa Senegal ili kuwa mbadala wa nahodha wake ...
Mgombea urais CCM, Samia Suluhu Hassan, amesema ndani ya siku 100 za mwanzo akipewa ridhaa ya kuongeza nchi, kupitia Falsafa ya R4 wataendelea mashauriano na wadau wa siasa, taasisi za kiraia na sekta ...
DAR ES SALAAM: MSANII maarufu wa muziki wa kizazi kipya, Mbwana Kilungi ‘Mbosso’ leo Oktoba 27, 2025, anatarajia kunogesha ufungaji wa kampeni wa mgombea udiwani wa Kata ya Kariakoo, Haji Manara.
Zelenskiy amechukua hatua hiyo katika juhudi za kupunguza mvutano ulioibuka kufuatia hatua yake ya kutia saini sheria yenye utata iliyoziondolea uhuru wa utenda kazi taasisi hizo. Zelenskiy amesema ...
Katika makao makuu ya Yanga hapatoshi, baada ya klabu hiyo kumshusha msanii Mbwana Kilungi maarufu kwa jina la Mbosso Khan. Yanga imemvuta Mbosso kuwa msanii maalum atakayetumbuiza katika kilele cha ...
Wakati wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakiwa wametulia usiku majumbani kwao wakitumia muda huo kupumzika, kwa upande wa mwanamuziki Mbosso usiku wa kuamkia leo Juni 13,2025 ulikuwa wa tofauti kwani ...
Dar es Salaam. Baada ya mashabiki kusubiri kwa hamu kazi mpya kutoka kwa msanii wa Bongo Fleva, Mbwana Kilungi maarufu Mbosso hatimaye msanii huyo ametangaza tarehe ya kuachia Ep yake mpya ya Room ...
Benki ya Maendeleo ya Afrika, AfDB inamchaguwa rais wake mpya Alkhamisi, katika mkutano unaofanyika nchini Ivory Coast. Mkutano huo unafanyika wakati benki hiyo ambayo ni mkopeshaji mkubwa wa mataifa ...
MSANII wa muziki wa bongo fleva Mbwana Kilungi ‘Mbosso’ amemshukuru Rais wa awamu ya nne Dk Jakaya Kikwete kwa kupona matatizo ya moyo. Hata hivyo, Kikwete alisema yeye hastahili hizo pongezi alitoa ...
Kama wiki mbili hivi kumekuwa na madai kuwa Mbosso anaondoka WCB Wasafi iliyofanya nayo kazi kwa miaka saba ila Mkurugenzi Mtendaji wa lebo hiyo, Diamond Platnumz ametupilia mbali uvumi huo. Mbosso ...
Ripoti mpya ya kila mwaka kuhusu mustakabali wa watoto ambayo imetolewa leo na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF, imeonya kwamba dunia inaingia katika zama mpya za majanga kwa ...