DAR ES SALAAM; WAJUMBE wa mikutano mikuu ya kata, wadi na jimbo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamepiga kura za maoni kuchagua wagombea wa ubunge, udiwani Tanzania Bara, ujumbe wa baraza la wawakilishi ...
IKIWA imebaki miezi minne kabla ya kufanyika Uchaguzi Mkuu, Oktoba mwaka huu hekaheka na sarakasi za watia nia zimeshika kasi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika majimbo mbalimbali nchini.
Wachezaji wanne, wanatarajia kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Dunia ya kuogelea ambayo yataanza Februari 11 hadi 18 mwaka huu mjini Doha, Qatar. Wachezaji hao wanatarajia kuondoka nchini ...
Mke wa aliyekuwa Mbunge wa Kyela na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, John Mwakipesile, Bupe Mwakipesile (wa kwanza kulia) akiwa katika chumba cha mahakama wakati akisikiliza kesi yake ilipotajwa leo Jumatatu ...
Dar es Salaam. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) inawachunguza viongozi wa Kanisa la Evangelical Assemblies of God Tanzania (EAGT) akiwemo Askofu Mkuu wa kanisa hilo, Abel ...
MAMBO bado moto baada ya Wakili Lugona Mwakipesile aliyejitokeza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kumtetea Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Simba, Zacharia Hanspoppe, kujiondoa kumtetea ...
Tangu kufunguliwa kwa dirisha dogo kuna baadhi ya majina ya wachezaji ambayo yanahusishwa kusajiliwa na klabu za Simba na Yanga. Nyota hao ni pamoja na Mohammed Rashid wa Tanzania Prison, Mohammed ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果
反馈