Dakika 120 zimeweza kuamua ubingwa wa fainali ya ligi ya vijana chini ya miaka 20 na Mtibwa Sugar kufanikiwa kutetea ubingwa mara ya tano hii leo dhidi ya Geita Gold katika uwanja wa Azam Complex ...
Bingwa mtetezi wa Kombe la Shirikisho Afrika, USM Alger ya Algeria imegoma kuingiza timu kwenye Uwanja wa Berkane Municipal kwa ajili ya mchezo wa nusu fainali ya pili ya michuano hiyo dhidi ya ...