NYOTA wa kimataifa wa Tanzania, Abdallah Shaibu 'Ninja' amesema mapigano yanayoendelea Goma, DRC Congo yamesitisha mazungumzo na kati yake na klabu ya Tanganyika FC.