Jumapili moja ya mwezi Oktoba,Mchungaji Somu Avaradhi alipigwa na butwaa alipoingia kanisani mwake mjini Hubballi katika jimbo la Karnataka kusini mwa India. "Kuna watu walikuwa wameketi ndani, ...