Kanisa Katoliki nchini Tanzania ni miongoni mwa taasisi zilizo mstari wa mbele katika kuzungumzia masuala ya kiraia, kisiasa na kijamii. Wakati nyakati zingine jukumu hili hufanywa kupitia mwamvuli ...
Serikali ya Tanzania, imedai kuwa maandamano yaliyosababisha maafa mabaya zaidi kuwahi kushuhudiwa katika historia ya taifa ...
VIONGOZI wa Makanisa Katoliki Nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (CENCO) pamoja na Kanisa la Kristo nchini humo (ECC), mapema leo Februari 12, 2025 wamekutana na kufanya mazungumzo na waasi ...
Kanisa Katoliki la Kenya limeanzisha aina mpya ya divai ya madhabahuni kwa ajili ya Misa Takatifu baada ya ile ya awali kupatikana kwa wingi katika baa za mitaani. Kinywaji hicho kipya cha ...
Nchini Nigeria, idadi isiyofahamika ya wanafunzi kutoka Shule inayomimilikiwa na Kanisa Katoliki, wametekwa na watu wenye silaha, katikati ya nchi hiyo, ikiwa ni tukio la pili kufanyika wiki hii.