Papa Wemba mmojawapo wa wanamuziki mashuhuri kabisa barani Afrika amefariki mapema Jumapili (24.04.2016) nchini Ivory Coast. Kwa mujibu wa mtandao wa lebabi.net iliowanukuu waandalizi wa tamasha la ...