Mkutano wa kilele wa pamoja kati ya EAC na SADC unafunguliwa leo Ijumaa, jijini Dar-es-Salaam, Tanzania, kuhusu mgogoro wa ...
MACHIFU watano wametekwa nyara siku ya Jumatatu na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa al-Shabaab katika Kaunti ya Mandera ...
Kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ninatoa salamu za pole kwa familia ya mwana mfalme Aga Khan, Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan na Jumuiya ya Waislamu wa Ismailia.
Bilionea maarufu  duniani na kiongozi wa kiroho wa dhehebu la Ismaili katika dini ya Kiislamu, Aga Khan, amefariki dunia ...
Mtazamo wa asasi hizo, unakuja ikiwa ni siku moja kabla ya wakuu wa nchi za EAC na SADC kukutana Dar es Salaam, kujadili ...
Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika hivi karibuni umemtaka Rais wa Jamhuri ya ...
Serikali ya Rwanda inashutumu muungano wa vikosi vya kimataifa vinavyopigana mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ...
M23 itangaje ibyo nyuma y’imirwano yavuzwe mu mpera z’icyumweru mu gace kegereye ikibuga cy'indege cya Kavumu. Ntibizwi niba ...
WAASI wa M23 wametangaza kusitisha mapigano leo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuruhusu misaada ya kibinadamu ...