Rais Samia Suluhu Hassan, amewatunuku tuzo Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) baada ya kuibuka Mshindi wa Kwanza kwa Wakala wa Serikali wanaotoa huduma za uzalishaji bora na zenye tija ...