ARUSHA: Mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi( CCM) Dk Samia Suluhu Hassan amewaahidi wananchi mkoani Arusha kuwa kufikia mwaka 2030 maeneo yote ya nchi yatakuwa yamefikiwa na ...
SHIRIKA la Hifadhi za Taifa Tanzania (Tanapa) limeingiza Hifadhi 10 kuwania tuzo za hifadhi bora Afrika, huku msanii Mbwana Yusuph 'Mbosso' akiomba wananchi kupigia kura kwa wingi ili Tanzania kuibuka ...
ALIFANYA vizuri tangu alipoibuka Mkubwa na Wanae kupitia Yamoto Band na akaendelea kutamba baada ya kusainiwa na WCB Wasafi, kwa kipindi chote Mbosso amejikusanyia mashabiki kibao kutokana na uandishi ...
Watanzania wametakiwa kuzingatia matumizi ya vyoo bora na kudhibiti majitaka na maji safi, ili kujikinga na maradhi yatokanayo uchafu wa mazingira. Dar es Salaam. Wakati dunia ikiadhimisha siku ya ...
TANZANIA ni miongoni mwa nchi 10 bora barani Afrika zinazofanywa vizuri katika suala la Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ni ya ...
Mrembo Salha Israel, ambaye alivaa taji la Miss Tanzania mwaka 2011/2012 ameamua rasmi kuingia kwenye tasnia ya uigizaji baada ya msimu wake wa urembo kuisha. Mrembo Salha Israel, ambaye alivaa taji ...
Sikiliza juu ya kurejea katika medani ya muziki kwa Mbosso, mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya wa Tanzania ambae aling'aa sana katika bendi iliyokuwa ikijulikana kama Yamoto Band. Zaidi msikilize ...