Na Nora Damian, Mtanzania Digital Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir amesema utamaduni wa kufuturisha waumini wakati wa Mfungo wa Ramadhani una malipo ...
Kundi la ISIS linatajwa na Marekani kuwa kundi la wanamgambo na moja ya makundi ya kigaidi hatari zaidi nchini Iraq na duniani. Kwa sasa Tanzania inahamasisha matumizi gesi ya kupikia, ikitekeleza ...