“Tuna furaha tena sana kuwa mwenyeji wa Magical Kenya Open mwaka huu. Kenya Open yetu ya kwanza katika uwanja huu ilikuwa mwaka wa 1967,” alisema mwenyekiti wa uwanja huo Dennis Mwirig ...
Kutoweka kwa zaidi ya wakosoaji 80 wa serikali katika kipindi cha miezi sita iliyopita kumesababisha taharuki kubwa ya umma nchini Kenya ... "Wikendi nyingi, tuko pamoja kutazama soka.