Inamaanisha kila watoto wa kike 100, karibu nusu au 45 wamenyanyaswa na kupewa mimba utotoni. Ruvuma ni ya pili kwa asilimia 37, Katavi 34, Mara 31 na Rukwa asilimia 30. Hizo si habari njema baada ya ...
Mgogoro wa kibinadamu unazidi kuongezeka nchini Haiti huku makundi yenye silaha yakiendelea kutekeleza ukatili wa kutisha dhidi ya watoto limesema leo shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto ...
Hata hivyo, hali inakuwa ngumu mtoto huyo anapozaliwa na matatizo kiafya, kama vile kuwa njiti (kazaliwa kabla ya muda wake wa kawaida). Wazazi wa watoto njiti hukutana na changamoto kubwa hasa katika ...
Mwanza. Wamepatikana. Ndilo neno lenye uzito wa kuelezea taarifa ya Polisi Mkoa wa Mwanza kuhusu kupatikana watoto wawili waliotekwa wakiwa kwenye basi la shule jijini hapa. Magreth Juma (8) anayesoma ...
jambo la kina zaidi - thamani ya haki na ustawi wa wasichana. “Nilijipatia ahadi kwamba ikiwa nitaolewa na kupata watoto wa kike, sitakubali wala kuwaacha wapitie madhila kama haya .” Analeta ufahamu ...
Amesema baada ya kupata ujauzito wa pili maisha yake yalianza kumbadilikia na yamekuja kumbadilika zaidi baada ya huu wa tatu, huku akikiri baba watoto wake, Kusah amechangia kumbadilisha kwa asilimia ...
O'Reilly anasema kwamba katika wagonjwa wengi ambao ni watoto wadogo,hakuna maelezo dhahiri ya kinasaba, na inaposomwa kwenye maabara, uvimbe unaobebwa na wagonjwa wenye umri wa miaka 20 ...
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Kampuni ya Vodacom Tanzania, Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) pamoja na Tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果