Mwalimu wa Madrasa, Mussa Bashiri Mussa, amefikishwa mahakamani akikabiliwa na mashtaka ya kuwafanyia ukatili watoto wawili wenye umri wa miaka 6 na 9, na kuwasababishia madhara. Mshtakiwa anadaiwa ...
WAZAZI na walezi mkoani Mtwara wameombwa kuwekeza kwa watoto wa kike na wenye mahitaji maalum kwenye fursa mbalimbali za ufundi stadi ili na wao waweze kujitegeme. Hayo ameyaeleza na Mkuu wa Chuo cha ...
Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango ametoa wito kwa Watanzania kukemea vitendo vya ukatili ulioshamiri dhidi ya wanawake na watoto na kuhakikisha hatua stahiki zinachukuliwa dhidi ya wahusika. Ametoa ...
Arusha. Wazazi na walezi nchini wametakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya hali ya msongo wa mawazo unaowakumba watoto wao ili kuwaepusha na magonjwa yasiyoambukiza na pia hatua za kujidhuru. Hayo ...
WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa ameeleza kwamba sheria ambayo ilitumiwa na serikali kuishurutisha kampuni ya simu ya Vodacom kusajili asilimia 25 ya hisa zake katika Soko la ...
Katika tukio hilo hakuna aliyeelewa kitu gani kilitokea hata mwamuzi Japhet Smarti kutoka Katavi kumpa kadi beki huyo raia wa Burundi, huku baadhi wakihisi labda alitoa lugha chafu, lakini umbali ...
Ofisi ya Haki za Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa imethibitisha kesi za mauaji ya watoto wiki iliyopita huko Bukavu, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Hali "inazidi kuzorota ...
Dar es Salaam. Kwa mujibu wa utafiti nafasi ya mtoto kuzaliwa katika familia, inaweza kuathiri tabia zake. Inaelezwa kwa mfano, wakati watoto wa kwanza huwa na tabia za uongozi katika kufanya majukumu ...
WAZAZI wameshauriwa kufuatilia kwa karibu dalili zote za uchelewaji wa hatua za ukuaji wa lugha kwa watoto wao na kutafuta msaada wa kitaalamu wanapokuwa na mashaka na usikivu wa watoto. Aidha, ...
Nchini Japani, elimu ya lazima huanza pale mtoto anapofikisha umri wa miaka sita. Watoto wa raia wa kigeni wanaweza kuhudhuria shule za msingi za umma za Kijapani. Katika mfululizo huu ...
Maagizo ya Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi Mohamed Dimwa yameanza kutekelezwa kwa kuhakikisha wabunge na Madiwani wanatekeleza ahadi walizotoa kwa wananchi kipindi wanaomba kura ...
Udhalilishaji wa kingono, ambao pia unajulikana kama maudhi kwa watoto, ni aina ya udhalilishaji watoto ambapo mtu mzima au mtu aliebalehe humtumia mtoto kukidhi ashki yake ya kingono. You need to ...