KUKOSOA juhudi za kuwawezesha watoto wa kike kwa madai kuwa zinalenga kufanya mapinduzi ya kufanikisha wanawake kutawala wanaume kunaanza kusikika. Ni maoni yanayosikika miongoni mwa wanaopinga haraka ...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limefanikiwa kuwapata watoto wawili wakiume na wakike nyumbani kwa mganga wa kienyeji anayefahamima kwa jina la Abdulikarim mkazi wa Kimara Baruti.
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linakutana muda huu jijini New York, Marekani kujadili hatari za kutishia maisha zinazowakabili watoto wa Kipalestina - maelfu yao wakiwa wameuawa wakati wa vita ...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkoa wa Katavi, Rhoda Kunchela akizungumza na vyombo vya habari. Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chadema, Mkoa wa Katavi, Rhoda Kunchela amesema ...
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi limesema watoto wawili waliotoweka katika mazingira ya kutatanisha wakiwa na mfanyakazi wa ndani siku tano zilizopita wamepatikana. Imeelezwa katika taarifa ya polisi ...
DADA wa kazi aliye fahamika kwa jina moja la Neema (35) anatuhumiwa kutoweka kus ikojulikana na watoto wawili wenye umri wa miaka mitatu na minne kutoka nyumbani kwa mwajiri wake, Hawa Suleiman.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, George Simbachawene. Na Ramadhan Hassan, Mtanzania Digital Serikali imetangaza kuanza kwa usaili wa kada ya ualimu kuanzia Januari 14 hadi 24 ...