Inampasa Muislamu anayetaka alipwe thawabu timilifu, ajifunze vizuri ibada yoyote kabla ya kuianza, ili aweze kumuabudu Allah ...
Makusudio hayahitaji kusemwa kwa maneno, wala hakuna Dua ya kuanzisha saumu ... na mama zao), pamoja na mawaidha ya mara kwa mara ya malipo ya Allah Taala, yatajenga hisia ya kudumu ya kukumbukwa ...