Upanuzi wa shughuli za uchimbaji uliofanyika katika eneo la Porcupine North umeongeza uhai wa Mgodi wa Shanta Gold- New Luika kwa miaka mitano zaidi kutoka mwaka 2029 kufikia 2034. Aidha, kupitia ...
Karibu watu 14 wamefariki dunia kufuatia kuporomoka kwa mgodi huko El Callao, Venezuela baada ya mvua kubwa kunyesha katika eneo la kusini mashariki. Kulingana na shirika la uokoaji vifo hivyo ...
Telangana: Mgodi wa makaa ya mawe wa NTPC wa Dulanga kwa sasa unafanya kazi kwa miradi na uchimbaji madini. National Thermal Power Corporation Limited, kampuni ya Uendeshaji ya Sekta ya Umma ya India ...
RAIS Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita kufuatia maafa yaliyotokea katika Mgodi uliopo wilaya ya Shinyanga Vijijni. Katika taarifa yake Rais Samia ...
自1981年发现首例艾滋病患者以来,人类与这种狡猾病毒的较量已持续40余年。科学家们不断升级“武器库”:从最初的“鸡尾酒疗法”,到2024年,一款名为Lenacapavir的“防艾神针”引发轰动——临床试验显示其预防效果接近100%,让“终结艾滋病”的曙光似乎触手 ...
Handeni. Wizara ya Madini imeridhia Kampuni za PMM Tanzania Limited na East African Metals (CANACO) watafute mwekezaji mwingine wa tatu mwenye nguvu ili kuendesha mgodi wa Dhahabu wa Magambazi uliopo ...
MGODI wa Mawe wa Ndolela Quarry uliopo kijiji cha Ndolela jimbo la Isimani mkoani Iringa umeanza ujenzi wa Zahanati kwa kushirikiana na wananchi ambayo itaondoa adha ya wananchi hao kutembea umbali ...
Ajali hiyo ilitokea siku ya Jumatano katika kijiji cha Danga ambapo "maporomoko ya ardhi yalinasa kundi la wachimba dhahabu, wengi wao wakiwa wanawake", gavana wa Koulikoro ameripoti kwenye mitandao ...
Wanaume 17 raia wa China wamekamatwa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa tuhuma za kuendesha shughuli za uchimbaji madini katika mgodi haramu wa dhahabu. Hayo yameelezwa na mamlaka za nchi ...
Mlipuko katika mgodi wa makaa ya mawe mashariki mwa Iran umeua wafanyakazi zaidi ya 30. Chombo cha habari cha serikali ya Iran kimeripoti kuwa mlipuko huo ulitokea majira ya saa tatu usiku juzi ...
(Nairobi) – Polisi nchini Tanzania wanaolinda Mgodi wa Dhahabu wa North Mara wamehusishwa na mauaji ya angalau watu sita na kujeruhi wengine kadhaa wakati wa migogoro na wananchi kuanzia mwezi ...