Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amemtembelea mama mjane Alice Haule, ambaye anadaiwa kufukuzwa kwenye nyumba aliyokuwa akiishi maeneo ya Mikocheni, nyumba inayodaiwa kuwa sehemu ya ...
Katika kuadhimisha Siku ya Watoto Njiti Duniani, Taasisi ya Doris Mollel ilimkabidhi nyumba ya makazi Mama aliyejitolea kukumbatia Watoto Njiti katika Hospitali ya Rufaa Mkoa Amana, Mariam Mwakabungu ...