Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV ametoa wito siku ya Jumapili, Novemba 23, wa kuachiliwa "mara moja" kwa wanafunzi na walimu zaidi ya 300 waliotekwa nyara na watu wenye silaha kutoka ...