Matokeo yamempa ushindi Mahamoud Ali Youssouf (59), wa Djibout aliyepata kura chache za ushindi dhidi ya Raila Odinga (80), kutoka Kenya ... anapozungumza kwa mara ya kwanza baada ya kutangazwa ...
Zimesalia saa chache tu, ambapo bara la Afrika na hususan mgombea kutoka Kenya, Raila Odinga kujua hatima yake ikiwa atakuwa mrithi wa Moussa Faki Mahamat kama mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika ...