UCHAGUZI wa Mwenyekiti wa Tume ya Afrika (AUC), unaomalizika hivi karibuni umeendelea kuonyesha namna uhusiano ulioanzishwa ...
Sera ya Kimataifa ya Kenya na kauli za Rais William Ruto zimetajwa kuwa mzigo mzito uliomharibia mgombea wa nchi hiyo, Raila ...
Kushindwa kwa Raila Odinga katika kinyang’anyiro cha Uenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC) kunaibua swali kubwa: ...
Kuingia kwenye siasa za Afrika kupitia uchaguzi wa AUC, kunaonekana na baadhi kama kutamuongezea nguvu kwenye siasa za Kenya, ...
Waziri wa zamani wa Kenya Raila Odinga amesema anataka kukubali kwake kushindwa kwenye uchaguzi wa AUC itumiwe kama mfano ...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Djibout, Mahmoud Youssouf, ‘Reuters’Raila Odinga wa Kenya na Richard Randriamandrato Madagascar.
Mwaka 2017, Amina Mohamed wa Kenya alipata kura 16 katika duru ya kwanza dhidi ya kura 14 za Moussa Faki, huku kura ...
Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) imeziandikia barua nchi zote 16 wanachama kuomba uungwaji mkono kwa mgombea wa Madagascar katika kinyang’anyiro cha kumrithi Mwenyekiti wa Kamisheni ya ...
Wakuu wa nchi na serikali za mataifa ya Afrika siku ya Jumamosi, watapiga kura kumchagua Mwenyekiti mpya wa Tume ya Umoja wa ...
Wakuu wa nchi na serikali wa mataifa mbalimbali barani Afrika kuanzia Alhamis ya wiki hii watawasili jijini Addis Ababa ...