TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetangaza kugawa magari kwa ajili ya wagombea urais wenye kukidhi vigezo vya tume, huku ikitoa uhuru wa kuyanakshi kwa rangi za vyama vyao. Mwenyekiti wa Tume ...
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Seleman Jafo, amesema Tanzania kwa sasa ina jumla ya viwanda 13 vya kuunganisha magari, ikiwa ni hatua muhimu ya kuimarisha sekta ya viwanda nchini kupitia ...