Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Seleman Jafo, amesema Tanzania kwa sasa ina jumla ya viwanda 13 vya kuunganisha magari, ikiwa ni hatua muhimu ya kuimarisha sekta ya viwanda nchini kupitia ...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa leo Oktoba 26, 2024 amekabidhi magari mapya 10 ikiwa ni ishara ya kukabidhi magari 88 yaliyonunuliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ili kuboresha ...
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amelikabidhi Jeshi la Polisi magari 77 kwa ajili kurahisha utekelezaji wa majukumu yake ya kusimamia usalama wa raia na mali zao. Akikabidhi ...
DUNIA ya sayansi na teknolojia, inatamani kila kitu kifanywe na mashine au roboti na mwanadamu, awe pengine anapumzika muda wote. Na sasa teknolojia imeingia kwenye kutengeneza na kuyafanyia majaribio ...
MAGARI makubwa yanayokatiza nje ya uwanja wa Mkapa yamegeuka kuwa changamoto kwa mashabiki waliojitokeza uwanjani. Magari hayo yametokea katika bandari kavu ambayo ipo karibu na chuo cha walimu Duce ...
Kenya imetangaza kuwa kuanzia Januari mosi mwaka 2022, waagizaji wa magari kutokea nje na wauzaji watalazimika kufuata sheria mpya. Magari yaliyosajiliwa kwa mara ya kwanza kabla ya mwaka 2014 ...
Makampuni sita ya magari yataahidi kusita kutengeneza magari yanayotumia mafuta ifikapo mwaka 2040, katika mkutano wa kilele wa mabadiliko ya tabianchi COP26 ili kupunguza uzalishaji wa gesi chafu.
Morogoro. Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini limeingia mkataba na kampuni ya kutengeneza magari ya Nyumbu ambayo itakuwa na jukumu ya kutengeneza magari ya kuzimia moto, ikiwa ni hatua ya kukabiliana ...
Kila mwaka wachezaji wamekuwa wakipewa aina mpya za magari huku Audi ikiuza magari ambayo wanayarudisha kwa watu wengine. Katika kikosi cha sasa cha Barcelona, kiungo mkabaji, Sergio Busquets ndiye ...
Wanaonunua magari hayo hupata unafuu kama wa kuegesha magari bure, kuyachaji bure katika maeneo ya maegesho na hawalipishwi kodi za halmashauri. Kwa mara ya kwanza idadi ya magari ya umeme imekuwa ...
Mkutano wa 24 wa nchi wanachama wa mkataba wa mabadiliko ya tabianchi nchi, COP24 ukiendelea huko Katowice, Poland, suala la kutumia magari yatumiayo nishati ya umeme ili kupunguza mchango wa sekta ya ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果
反馈