Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Kitaifa la Afrika Kusini (SANDF), Jenerali Rudzani Maphwanya, amejibu kauli ya Rais wa Rwanda, Paul Kagame, kuhusu mchango wa vikosi vya ulinzi wa amani katika Jamhuri ya ...
NAHODHA wa Timu ya Soka ya Taifa (Taifa Stars), Mbwana Samatta, amesema Tanzania imepangwa katika kundi gumu kwenye Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025), ambazo zitafanyika mwaka huu ...
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ametoa rai kwa wananchi kuunganisha huduma ya umeme wakati miradi mbalimbali ya umeme inapotekelezwa ili kuepuka gharama inayoweza kutokea pale miradi inapokuwa ...
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Balandya Elikana, amewataka maofisa elimu na watendaji wa sekta hiyo kuhakikisha wanaendana na mabadiliko ya utekelezaji wa mtaala mpya wa masomo ulioanza kutumika Jan ...