Dar es Salaam. Chama cha Makini au kwa kifupi Makini, ni matokeo ya kubadilishwa jina kwa Chama cha Demokrasia Makini. Bila shaka ni mvinyo wa zamani kwenye chupa mpya, wala si mvinyo mpya ndani ya ...
Miraji akimfariji mke wa marehemu Sophia Kaggi wakati wa ibada ya kuaga miili hiyo mitano katika kanisa la KKKT Mikanjuni Tanga Septemba 17, 2025. Picha na Rajabu Athumani Tanga. "Katika mazingira ya ...
Mjadala umeibuka mitandaoni jana baada ya ACT - Wazalendo kutoa taarifa ya mgombea wake wa Urais wa Tanzania, Luhaga Mpina na Kiongozi Mkuu wa Chama hicho, Dorothy Semu kushiriki uzinduzi wa ilani ya ...
Iringa. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Jimbo la Iringa Mjini, Frank Nyalusi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Septemba 19, 2025. Nyalusi ambaye amewahi kuwa diwani Kata ...
‎‎Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amerusha karata nyingine katika harakati za kujiondoa kwenye kesi ya uhaini inayomkabili, baada ya kupinga hati ...
Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu akiwa ndani ya chumba cha Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Jumanne Septemba 16, 2025. ‎Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ...
Makamu Mwenyekiti CCM Bara Stephen Wassira akizungumza na wafuasi wa chama hicho mara baada ya kuwasilia mkoani hapa. Picha na Hawa Mathias Mbeya. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, ...
‎Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, leo inatarajiwa kutoa uamuzi wa pingamizi la usikilizwaji wa kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ...
Baadhi ya washiriki wa kongamano la kisayansi linalofanyika katikq Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT) wilayani Butiama ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya ...
Dar es Salaam. Kampuni ya Puma Energy imezindua kituo cha huduma mkoani Singida, ikisema hatua hiyo inalenga kuboresha upatikanaji wa nishati, kuunda fursa za kiuchumi na kutoa huduma za kisasa kwa ...
Dar es Salaam. Baada ya kifo cha Askofu mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dk Stephen Munga, Askofu Dk Benson Bagonza amesema walikuwa ...
Dar es Salaam. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imemuondoa mgombea urais kupitia Chama cha ACT – Wazalendo, Luhaga Mpina kwenye mbio za urais, baada ya pingamizi lililowekwa dhidi yake na ...