BAO moja na asisti moja, vimetosha kumfanya kiungo mshambuliaji wa Tabora United, Offen Chikola kuwa shujaa wa kikosi hicho ...
Pamba Jiji imetuma ujumbe kwa waamuzi wa Ligi Kuu Bara ikionyesha masikitiko juu ya vitendo vya baadhi ya waamuzi kulazimisha ...
Ladack Chasambi na Elie Mpanzu wamekuwa habari ya mjini leo baada ya kuiongoza Simba kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya ...
KIPIGO cha mabao mabao 2-0 walichopata Fountain Gate juzi kutoka kwa Ken Gold kimeonekana kumchanganya kocha mkuu wa timu ...
Plymouth Argyle ilishtua wengi kwenye matokeo ya raundi hiyo baada ya kuisukuma nje mabingwa mara nane, Liverpool kwenye ...
Manchester City inaikaribisha Real Madrid katika Uwanja wa Etihad leo usiku ikiwa ni mechi ya kwanza baina ya timu hizo ...
DAKTARI wa mpira. Ndiyo jina maarufu kwake kutokana na umahiri wake katika kuituliza timu licha ya umri kumtupa mkono.
Oktoba 3, 2024, Fiston Mayele alipiga pasi mbili za mwisho dhidi ya El Dakhlia ambazo zilichangia kuiwezesha Pyramids FC ...
STORI inayobamba kwa sasa kwenye vyombo vya habari ni ndoa ya Stephane Aziz Ki na Hamisa Mobetto, ingawa wapo waliofika mbali ...
KATIKA kuhakikisha ile Gusa Achia Pro Max inafanya kazi ipasavyo, kocha mpya wa Yanga, Miloud Hamdi ameongeza dozi kwa mastaa ...
Winga wa Arsenal, Bukayo Saka ameonekana kuwa katika hatua nzuri ya kurejea uwanjani baada ya picha kumnasa akifanya mazoezi ...
YALE makali ya washambuliaji wa Yanga, Clement Mzize na Prince Dube waliyoyaonyesha mechi saba zilizopita katika Ligi Kuu ...