YANGA Princess imemaliza ubabe wa Simba Queens baada ya kuichapa bao 1-0 kwenye mchezo mkali wa Ligi Kuu ya Wanawake uliopigwa leo Machi 19, 2025 kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar.
WAKATI Ligi Kuu Bara ikisimama hadi Aprili Mosi ili kupisha kalenda ya mechi za kimataifa kwa timu za taifa zinazochuana ...
BENCHI la ufundi la Simba linazidi kukuna kichwa juu ya jereha linalomsumbua beki wa kati, Fondoh Che Malone aliyepelekwa ...
Wachezaji watatu, Fotius Ngaiza, Omary Sadiki na Jimmy Brown walikuwa kivutio, katika mashindano ya Ramadhani Star Ligi kutokana na uwezo wao.
LIVERPOOL imepanga kutumia zaidi ya Pauni 250 milioni dirisha lijalo la majira ya kiangazi kwa ajili ya kuboresha kikosi chao NA ina mpango wa kusajili mastaa kadhaa ikiwemo straika wa ...
KENGOLD bado inapasua kichwa ikitaka kubaki Ligi Kuu Bara, lakini imezitaja mechi mbili zinazoweza kuwa kikazo kwao ambazo ni dhidi ya ni Simba na Azam FC.
ABC haitanii na imetoa fursa kwa vijana kujiunga na timu hiyo ikiwamo kupata nafasi ya kwenda mafunzo ya jeshi.
REKODI alizoacha John Bocco pale Azam FC, zimemfanya Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, Thabit Zakaria ‘Zaka Zakazi’, kumtaja kuwa ndiye mchezaji bora wa muda wote ndani ya kikosi hicho.
SAKATA la kuahirishwa mechi ya Kariakoo Dabi, Yanga dhidi ya Simba limechukua sura mpya na tafsiri nyepesi ni kama mambo ya yamekucha rasmi kwani awali ilionekana kama masihara.
SI kwa bahati mbaya kuitwa kikosi cha timu ya Taifa, Taifa Stars. Ni kwa sababu ya uwezo wake wa kukaba na kupandisha mashambulizi na amekuwa mmoja wa nyota wanaoibeba Azam FC msimu huu. Huyu ...
LONDON, ENGLAND: MANCHESTER United imeweka ubaoni majina ya mastraika wanne inayohitaji huduma zao kwa ajili ya msimu ujao. Man United imekuwa na wakati mgumu kwenye fowadi yao msimu huu, ikifunga ...
WINGA supastaa, Bukayo Saka anakimbizana na muda kuwahi kipute cha robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na itakutanisha timu yake ya Arsenal dhidi ya Real Madrid uwanjani Emirates, Aprili 8.
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果