BAO moja na asisti moja, vimetosha kumfanya kiungo mshambuliaji wa Tabora United, Offen Chikola kuwa shujaa wa kikosi hicho ...
Ladack Chasambi na Elie Mpanzu wamekuwa habari ya mjini leo baada ya kuiongoza Simba kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam.
Ladack Chasambi na Elie Mpanzu wamekuwa habari ya mjini leo baada ya kuiongoza Simba kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya ...
Simba imemtangaza mshambuliaji wake Ladack Chasambi kuwa mgeni rasmi katika mechi yake leo dhidi ya Tanzania Prisons kwenye Uwanja wa KMC Complex, Mwenge, Dar es Salaam wakati huo kocha ...
Pamba Jiji imetuma ujumbe kwa waamuzi wa Ligi Kuu Bara ikionyesha masikitiko juu ya vitendo vya baadhi ya waamuzi kulazimisha matokeo yanayozifurahisha baadhi ya timu na kuziumiza nyingine.
MAAFANDE wa JKT Tanzania ambao waliibania Yanga juzi, Jumatatu wamefikisha dakika 810 katika michezo tisa waliyocheza msimu huu wa 2024/25 huku wakiweka rekodi ya kuwa timu pekee ya Ligi Kuu ...
KIPIGO cha mabao mabao 2-0 walichopata Fountain Gate juzi kutoka kwa Ken Gold kimeonekana kumchanganya kocha mkuu wa timu ...
Pamba Jiji imetuma ujumbe kwa waamuzi wa Ligi Kuu Bara ikionyesha masikitiko juu ya vitendo vya baadhi ya waamuzi kulazimisha ...
DAKTARI wa mpira. Ndiyo jina maarufu kwake kutokana na umahiri wake katika kuituliza timu licha ya umri kumtupa mkono.
Kocha wa timu ya soka ya wanawake ya Kenya chini ya miaka 17, Mildred Cheche ana kazi ya kujenga upya kikosi chake kabla ya mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia la Wanawake dhidi ya Uganda mwezi Machi.
Manchester City inaikaribisha Real Madrid katika Uwanja wa Etihad leo usiku ikiwa ni mechi ya kwanza baina ya timu hizo ...
BEKI wa zamani, Rio Ferdinand amesema presha ya kuichezea Manchester United si mchezo ndiyo maana wachezaji wengi wanaondoka Old Trafford wanakwenda kung'ara huko kwingineko kwa sababu ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果