资讯
MABOSI wa Yanga hawataki utani. Hilo limeonekana baada kuamua jambo kuhusiana na kiungo mshambuliaji raia wa Ivory Coast.
HUENDA hii isiwe taarifa nzuri kwa mashabiki wa Yanga ambao walikuwa wakianza kuchekelea chinichini baada ya kuwahabarisha ...
SIKU tano kabla ya Uhuru wa Tanzania alizaliwa Mkongomani Florent Ibenge. Sijui atakuja kuwapa uhuru wa maisha Azam.
KATIKA orodha ya wachezaji waliotamba kwenye kikosi cha Pamba Jiji msimu wa 2024/25 wa Ligi Kuu Bara, jina la James Mwashinga ...
MSHAMBULIAJi wa Napoli na timu ya taifa ya Nigeria, Victor Osimhen yuko tayari kusaini mkataba wa kudumu wa kuitumikia ...
HATUA ya robo fainali za Kombe la Dunia la Klabu la FIFA ilimalizika jana ambapo timu nne zimefuzu kucheza nusu fainali ya ...
WAKATI dunia ya wanasoka ikiendelea kuombeleza kifo cha mchezaji Diogo Jota, aliyefariki dunia kwa ajali ya gari akiwa na ...
KLABU ya Azam FC imemtangaza Jean-Florent Ikwange Ibenge kuwa kocha mkuu mpya kwa msimu wa 2025/26 akirithi mikoba ya ...
BAADA ya ripoti nyingi juu ya kukosekana kwa staa Cristiano Ronaldo kwenye mazishi ya Diogo Jota, hatimaye dada yake, Katia ...
MAMBO ni bambam kwa Wanalambalamba Azam FC baada ya kumalizana na aliyekuwa kocha mkuu wa Al Hilal Omdruman ya Sudan, Florent Ibenge, inayokipiga katika Ligi Kuu Mauritania kwa sasa, ...
UNAMKUMBUKA Happiness Magese, mshindi na Miss Tanzania 2001? Bibie huyu ambaye kwa sasa anafahamika zaidi kwa jina la Millen ...
KUMEKUCHA Afrika. Ndio, unaambiwa hadi kufikia Julai 31 mwaka huu, zitafahamika timu zote zitakazoshiriki michuano ya Ligi ya ...
当前正在显示可能无法访问的结果。
隐藏无法访问的结果