Wizara ya Afya imewahimiza wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Mpox kwa kuepuka kushiriki vitu vya binafsi kama nguo, mashuka na blanketi vilivyotumiwa na mtu mwenye dalili za ugonjwa huo.
KWA mujibu wa taarifa ya Umoja wa Kimataifa wa Uhifadhi na Kulinda Ualisia (IUCN) ya mwaka 2023, inaeleza kuwa Tanzania inaongoza barani Afrika kwa kuwa na idadi kubwa ya wanyamapori Simba na Faru.
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果