Muunguzi mwenye umri wa miaka 32 alifariki katika mji mkuu wa Uganda, Kampala, kutokana na ugonjwa wa Ebola, wizara ya afya ya nchi hiyo ilithibitisha siku ya Alhamisi. Wizara ya Afya ya Uganda ...
Wizara ya Afya ya Uganda imeripoti kuwa muuguzi mmoja amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa Ebola, katika mji mkuu, Kampala. Katibu mkuu wa wizara hiyo, Diana Atwine, amekiri mbele ya waandishi ...
SERIKALI ya Uganda imetangaza kuwa idadi ya watu walioambukizwa ugonjwa wa Ebola imefikia tisa kutoka watu watatu ...
Siku moja baada ya mazungumzo ya kutafuta Amani Ukraine kati ya Marekani na Urusi, Rais Donald Trump amekasirishwa na majibu ...
Marekani na Urusi zilifanya mazungumzo Jumanne juu ya mwisho wa vita huko Ukraine, huku Rais Trump akisema Ukraine "ingeweza ...