Viongozi wa upinzani nchini Uganda wametoa makataa ya saa 48 kwa Rais Yoweri Museveni, wakitaka kuachiliwa mara moja kwa Dk ...
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye amefunguliwa mashtaka ya uhaini, ikiwa ni sehemu ya msururu wa matatizo ya ...
Rais Yoweri Museveni ameangazia suala la kukamatwa na kuzuiliwa kwa kiongozi wa upinzani Dr. Kizza Besigye, na kusisitiza ...
Katika chapisho lingine, alidai bila kutoa ushahidi kwamba watu wa kabila la Bahima kutoka Uganda wamekuwa wakishambuliwa ...
Alilazwa hospitalini kwa muda mfupi mwishoni mwa wiki, huku waziri mmoja katika Serikali ya Uganda akisema hali yake ya afya inatisha.
Mkuu wa vikosi vya Ulinzi vya Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amesema Uganda inatoa saa 24 vikosi vyote vilivyopo ...
MOJA ya makosa ambayo mwalimu Julius Nyerere amewahi kukiri kuyafanya wakati wa utawala wake na kuyajutia ni kuitambua ...
KIONGOZI wa Upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye ,68, amerudishwa gerezani baada ya kuwahishwa hospitali kutokana na afya ...
Wizara ya Afya ya Uganda imeripoti kuwa muuguzi mmoja amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa Ebola, katika mji mkuu, Kampala. Katibu mkuu wa wizara hiyo, Diana Atwine, amekiri mbele ya waandishi ...